Thursday, May 24, 2012

YATUPASA KUWASAIDIA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

NDUGU WATANZANIA TANGU UKIMWI ULIPO INGIA NCHINI MWETU UMEPELEKEA KUUA IDADI KUBWA YA WATANZANIA, NA HIVYO KUWEPO KWA IDADI KUBWA YA WATOTO YATIMA KATIKA JAMII NA SABABU YA PILI NI KUZAA KUSIKO NA MALENGO THABITI JUU YA UUNDAJI WA FAMILIA YA PAMOJA KWA WAZAZI, HIVI SASA KUMEPELEKEA KUWEPO KWA WATOTO WENGI WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI,SABABU NYINGINE NI HALI DUNI YA UCHUMI WA FAMILIA KWA UJUMLA NAYO NISABABU TOSHA YA WATOTO KUINGIA KATIKA MAZINGIRA HATARISHI,AMBAKO KUMESABABISHA WATOTO KUTUMIWA KINGONO, VILE VILE KUWEPO KWA MALEZI DUNI KATIKA FAILIA ZETU ZA AFRIKA KWANI HAKUNA SHULE YA MALEZI KWA WAZAZI PINDI WANAPOOANA, WENGI HAWAFUGI NDOA KANISANI WALA MISIKITINI HIVYO KUPELEKEA KUTO KUWEPO KWA FURSA YA MAFUNDISHO YA NDOA KWA WANANDOA WATARAJIWA.SUALA JINGINE NI KUTENGANA KWA WAZAZI NAYO NI SABABU KUBWA AMBAYO IMEPELEA WATOTO KUTOKUWA NA MTILILIKO WA MALEZIBORA TOKA KWA WAZAZI; MARA LEO KWA BABA ,KESHO KWA MAMA, AU KWA BIBI,PIA WAZAZI KUEPUKA MAJUKUMU YAO YA ULEZI KWA WATOTO WAO WENGI WAO WATOTO WAKISHAZALIWA WANAPELEKA KUKAA NA BABU AU BIBI HII NI HATARI SANA KATIKA MAKUZI YA WATOTO, NI VEMA WAKALELEWA NA WAZAZI WAO ILI KUPATA MAEZI BORA NA KUWAJENGZAIDI KISAIKOLOJIA, NA KUONJA UPENDO WA WAZAZI WAO.NI MIMI MRATIBU WA MRADI WA WATOTO UNAOFADHILIWA NA MFUKO WA RAIS WA MAREKANI (PEPFAR) UITWAO PAMOJA TUWALEE ,KARIBUNI TUWACHANGIE WATOTO MAHITAJI YAFUATAYO; NGUO, CHAKULA , MAJI ADA ZA SHULE, UFUNDI STADI,MIPIRA YA MICHEZO,VINYWAJI,VIATU ,JEZI NK.KWANI WATOTO NI WENGI YATUPASA SOTE TUWAJIBIKE KWA MASLAHI YA TAIFA LA LEO NA KESHO NI MIMI THOBA JOHN SIMU NAMBA 0713080796,0768234668 DSM,TUPO ST.JOSEPH JIMBO KUU KATOLIKI DAR ES SALAAM.